Natafuta Microscope

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,590
1,614
Wadau natafuta microscope kwa ajili ya masuala ya maabara za utambuzi wa vimelea/vijidudu vinavyosababisha magonjwa kwenye mwili wa binadamu.

Aina ninayoitaka ni Olympus. Kama kuna mwenye nayo na ikiwa genuine anitafute kupitia Pm tufanye biashara.
 
mimi ninayo emry ya japan jicho moja ya umeme niliagiza sijaitumia baada kuamua kufanya kazi ingine kama unaitaka ni genuine...bei laki Nne..ukitaka picha ni pm
 
Back
Top Bottom