uta Member Joined May 1, 2012 Posts 54 Reaction score 24 May 10, 2016 #1 Traeted timber 2*2 r.meter 2*4 r.meter 2*6 r.meter Tupo buguruni karibu sana Piga 0656-816616
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 May 10, 2016 #2 Unataka kuuza fasta kabla hawajaamia kenye mbao eee
msemakweli2 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,886 May 10, 2016 #3 ule mchezo wenu wa kuunga tape measure pale buguruni mumeuacha?
uta Member Joined May 1, 2012 Posts 54 Reaction score 24 May 10, 2016 Thread starter #4 Haahaaa huku safi bana sisi wauzaji tu duh maisha huwa yanaendelea
uta Member Joined May 1, 2012 Posts 54 Reaction score 24 May 10, 2016 Thread starter #5 msemakweli2 said: ule mchezo wenu wa kuunga tape measure pale buguruni mumeuacha? Click to expand... Haahaaa no bana sisi wauzaji may b ukiangukia kwa mikono ya madalali
msemakweli2 said: ule mchezo wenu wa kuunga tape measure pale buguruni mumeuacha? Click to expand... Haahaaa no bana sisi wauzaji may b ukiangukia kwa mikono ya madalali
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,813 Reaction score 14,405 May 10, 2016 #6 uta said: Haahaaa no bana sisi wauzaji may b ukiangukia kwa mikono ya madalali Click to expand... Madalali wanawaharibia sana..... hapo Buguruni tayari kuna doa, na watu wengi hupaogopa.
uta said: Haahaaa no bana sisi wauzaji may b ukiangukia kwa mikono ya madalali Click to expand... Madalali wanawaharibia sana..... hapo Buguruni tayari kuna doa, na watu wengi hupaogopa.
uta Member Joined May 1, 2012 Posts 54 Reaction score 24 May 10, 2016 Thread starter #7 nzalendo said: Madalali wanawaharibia sana..... hapo Buguruni tayari kuna doa, na watu wengi hupaogopa. Click to expand... Ndio na systm ikishakuwa hvy ngumu kuibali peke ako ila ndo kama hv kuwatangazia watu ili uwapate bila kupitia mikono ya madalali
nzalendo said: Madalali wanawaharibia sana..... hapo Buguruni tayari kuna doa, na watu wengi hupaogopa. Click to expand... Ndio na systm ikishakuwa hvy ngumu kuibali peke ako ila ndo kama hv kuwatangazia watu ili uwapate bila kupitia mikono ya madalali
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 520 May 11, 2016 #8 kununua mbao buguruni ni changamoto... nimeshaskia stori nyingi za kuunga tape pale