Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau naomba kufahamu duka naloweza kupata pikipiki aina ya Yamaha R15 au Pulsar NS 200. Na bei zake ziko vipi kwa sasa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja Hiki Kipo Eneo La Wazo-hill Katika Wilaya Ya K'nondoni Mkoa Wa Dar Es Salaam, Kiwanja Ni Tambalale Na Kina Nyaraka Zote Za Umiliki Pia Tayari Kina Nyumba Ya Kuishi Ya Vyumba 3 Na Sebure...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single),sitting room kubwa ya kisasa, dinning room, 2 public toilets,fens&parking area,maji yapo,umeme unawaka, full tiles,Nyumba ipo mta 300...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini, Kama unakijua popote kilipo Dar kiwe na umeme, kodi iwe miezi sita au mitatu,naomba uniPM. Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana Kwa ukubwa wa 20/20 Kuna nafas ya kulipia kwa installment,unalipia 65% then Hyo 35% unamalizia ndan ya wik 6 0656 698232
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya Fundi Bomba(plumber),amesomea chuon,ni mzoefu,vilevile in mwajiriwa wa serikali,pia ni mwalimu wa Bomba, pipe Installations,sanitary appliances,drainage system,water pump...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wana JF, Naombeni kujua wastani wa bei ya dish kwa ajili ya kingamuzi ambacho inatoa free channels yani sio cha kampuni fulani mfano Starimes, Azam etc chenyewe kinahitaji dish kupata free...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TUNAKODISHA GARI COASTER KWA AJIRI YA TOUR KWENDA MIKOANI KWA MAWASILIANO ZAIDI 0764014285
1 Reactions
0 Replies
814 Views
Kwa vitanda bomba kabisa na vya kijanja basi tembelea Home Improvement · Tunapatikana Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania Kwa mawasiliano tupigie 0652-458226; 0756-469679 Welcome to get better...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu au ipad ipi nzuri na kamili kwa ajili ya kufanyia biashara za mitandao ya bei rahisi isiyozidi 300,000/-
1 Reactions
1 Replies
884 Views
Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags zaidi ya 500 , Naomba kama kuna mtu au kampuni inaweza kufanya hii kazi kwa bei nzuri tupeane mawasiliano au nicheki whatsapp 0759696989...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi natafuta mtu mwenye machine ya kukamua asali mbichi .Nina Ndoo moja tu na niko Arusha .Msaada please
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninauza asali ya nyuki wakubwa kutoka Tabora, ni mbichi na haijachanganywa na kitu chochote. Bei lita 20 tsh 160,000, mawasiliano 0674003082.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambozi Wana JF Wale Wapenda Kamisheni Haya Kazi Kwenu!!! Nitafutie Kazi Za Video Shooting Na Photography Katika Matukio Mbalimbali Kama HARUSI, MSIBA, MAHAFALI NK. Mimi Nitakupa 20% Ya Thamani Ya...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Hi Wanajamii, nafahamu humu tumesambaa Dunia nzima, sasa leo naomba kama kuna Mzalendo yupo UK au Japan , na anasafirisha mizigo or kufanya biashara UK/Japan -Tz aniinbox nataka kuagiza bidhaa...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
KIWANJA kinauzwa kwenje mji mdogo wa chalinze.Kipo pembezoni kabisa na morogoro road. Ukubwa:robo heka Bei:100mill Maelewano yapo Mawasiliano:0652324449 Madali wastaarabu ruksa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Goba-TEGETA A! Ukubwa ni sq 840 bei ni tsh 20 million ila maongezi yapo hakijapimwa na kina mikataba yote ya awali kuanzia serikali ya Mitaa hadi kwa mwanasheria umbali kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta sehemu ya kupangisha banda la kuku kubwa. Kama litakuwa shamba itakuwa vyema pia. Dar au kibaha. Bajeti yangu ni 100,000 kwa mwezi 0713769013
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single),sitting room, public toilet (2),frames(2)kiwanja 16/15 huduma muhim zinapatkana 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tuwasiliane. Shamba ni zuri kwa kilimo cha ufuta,mahindi na nk.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom