Pata bata mzinga kwa bei nzuri

Pata bata mzinga kwa bei nzuri

AsiliYetu

Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
62
Reaction score
11
e_flyerB.jpg

ASILI YETU

Nikikundi kinachojiusisha na ufugaji wa ndenge tofauti,tupo Arusha.

Tunapenda kuwataalifu tunauza ndenge haina ya Bata Mzinga wakubwa miezi mitano

JIKE.100,000
DUME.120,000

kwa mawasiliyano
+255 758 811 234
 
Mbali ya bata mzinga mna ndege gani wengine mnaofuga?
 
Tunao
1.Kuku wa kienyeji
Kuchi
Singamangazi
Horasi
Mbegu kutoka Singida
 
Back
Top Bottom