Nahitaji vitanda vyuma

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,229
Vitanda vilivyo tengenezwa kwa chuma, viwe vya kisasa na vimenakshiwa uzuri.
Nicheck whatsap kwa +971557066896
 
Mkuu mi ninavyo vizuri sana. Unapatakana wapi?
Naomba tuwasiliane kwa namba hiyo nilioiweka hapo mkuu.
Au tupia namba yako hapa nikupigie.
Au weka picha hapa kwenye uzi aisee
 
Bado nina uhitaji wa vitanda vilivyo tengenezwa kwa chuma.
Tafadhali kwa mwenye kuhusika na biashara hii tuwasiliane kwa namba nilizo weka hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom