About Big one enterprises
Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako...
About Big one enterprises
Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako...
Wakuu kwema jamani.
Nina Shida nadhani naweza pata msaada hapa. Nilifanya booking ukumbi wa Danken house mikocheni kwa tarehe 25 June 2016, sasa kwa Bahati mbaya shughuli yangu haitakuwepo tena...
Haina tatizo lolote, nataka tu kubadili simu
Dimensions 129 x 68.2 x 8.9 mm (5.08 x 2.69 x 0.35 in)
Double line
Betri inakaa sana (hii ni added advantage)
Camera
Primary 5 MP, f/2.2, 31mm...
Habari?
Aise natafuta kampuni reliable (isiyo na magumashi) wanaoweza kunitengenezea green house. Kama wewe ni muhusika au unamfahamu muhusika au kampuni nijulishe kupitia 0713158779 au PM. Kazi...
Habari za sahizi. Natafuta watu wanaoweza kuniletea zao la dengu kwa kiasi chochote kinachopatikana. Pia tunaweza kufwata uliko. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali wasiliana nami tuongee vizuri...
kwa wale wapenzi wa movies, ninacollection za movies zaidi ya mia moja (ila sio bongo movies) kwa anahehitaji tuwasiliane bei ni nafuu tu, kuna series ya game of throne kuanzia season 1, narcos...
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala (1master&3single),sitting room, public toilet, nyumba ndn ina marekebsho kdgo kama tiles,umeme ushalipiwa BT bado haujawaka so document zote za tanesco kuhusu...
Nyumba ina vyumba vtatu(1master&2single),sitting room ,public toilet, kisima cha maj na kinatoa maj, umeme unawaka, ipo barabara ya mtaa so unaeza weka frem kwa biashara zaid,lkn pia nyumba ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.