Nauza simu Tecno Phantom z mini A7 bei rahisi sana

Nauza simu Tecno Phantom z mini A7 bei rahisi sana

bobdizo

Senior Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
137
Reaction score
50
tecno phantom z mini A7..16gb memory.. 16 megapixel.. laki na 90 mpaka laki na 80 tu kwa anayetaka anichek kwa namba hii 0713871199
170d625b5c09188c33812af9ce225dd9.jpg
5f520c06d62f9663c4f77eee6dd3055b.jpg
 
Kwanini unaiuza? Jibu kwanza hili swali baada ya hapo tutakupigia simu kupitia namba uliyoweka.
 
haina tatizo lolote inauzwa kwa sababu ya shida binafsi
 
tecno phantom z mini A7..16gb memory.. 16 megapixel.. laki na 90 mpaka laki na 80 tu kwa anayetaka anichek kwa namba hii 0713871199
170d625b5c09188c33812af9ce225dd9.jpg
5f520c06d62f9663c4f77eee6dd3055b.jpg
ngoja ipite tarehe 16 nitakutafuta mkuu
 
Simu ambayo sitakaa niitumie ni tecno
Same here, Samsung zilinizingua mwaka juzi nikakasirika nikaamua 'kuchepuka'.
Sasa nimeamua kurudi nyumbani.....
Samsung...Home sweet home [emoji8]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani hadi leo hujui fake na og mkuu?
aah wapi siku hizi copy and paste huoni tofauti mkuu mpaka uzame sana ndani .msema kweli baadaya 16 june tu
 
Kwa simu ya mwaka 2014 kupata mteja kwa bei uliyoweka ni mthihani, time will tell
 
aah wapi siku hizi copy and paste huoni tofauti mkuu mpaka uzame sana ndani .msema kweli baadaya 16 june tu
Duh, acha kujiendekeza mkuu.
Anyways... Subiri hiyo June 16.
 
Back
Top Bottom