faabroz
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 286
- 69
Habarini za kazi wanajamii forum, naomba msaada wa mtu wa coca cola ambao huwa wanaandika majina kwenye chupa za coca Nina function hapa shuleni kwangu nataka wanafunzi waandikiwe majina nipo Songea
Naomba kama una namba zao nitumie hapa au ni pm
Natanguliza shukrani
Naomba kama una namba zao nitumie hapa au ni pm
Natanguliza shukrani