Nina Tsh 8m, nahitaji kiwanja Arusha

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Wandugu, habari zenu.

Ninatafuta kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya makazi

Bajeti yangu haizidi Tsh 8m. Ninapenda kiwanja hicho kiwe maeneo ya Shangarai, Makumira, Usa, na maeneo yote kuanzia Kambi ya Chupa hadi Usa.

Tafadhali, tusaidiane
 
Hicho kiasi utapata eneo kubwa kuanzia maji ya chai mpaka katiti au kuanzia kikwe mpaka Mikungani ,kwa maeneo uliyotaja labda uende Leki tatu (usa ya chini ya reli) huko ndiko utapata kuanzia 35m * 32m kwenda juu .Onana na wenyeviti wa vijiji wakukutanishe na wanaouza wao wanawafahamu ili uepuke kulizwa ndugu .
 
Arusha mji wa ajabu sana! Viwanja vya ajabu ajabu halafu bei ni mkasi kinoma,

Unaweza pata kiwanja kwa bei hiyo ila usiwe na haraka hata kidogo, take your time kutembelea viwanja tofautitofauti! Mwishon utapata tu
 
Ingekuwa unahitaji Moshono jirani na kambi ya jeshi/kwa masista nina viwanja vitatu,kila kimoja 18X23 meters.BEI: 12Milioni cash
Ukichukua zaidi ya kimoja bei inapungua.
Huduma zote za kijamii zipo karibu sana,pamoja na umeme na maji.
Barabara hadi mlangoni
Mawasiliano: 0752489529
 
Hicho kiasi utapata eneo kubwa kuanzia maji ya chai mpaka katiti au kuanzia kikwe mpaka Mikungani ,kwa maeneo uliyotaja labda uende Leki tatu (usa ya chini ya reli) huko ndiko utapata kuanzia 35m * 32m kwenda juu .Onana na wenyeviti wa vijiji wakukutanishe na wanaouza wao wanawafahamu ili uepuke kulizwa ndugu .
Asante sana kwa ushauri wako mkuu
 
Arusha mji wa ajabu sana! Viwanja vya ajabu ajabu halafu bei ni mkasi kinoma,

Unaweza pata kiwanja kwa bei hiyo ila usiwe na haraka hata kidogo, take your time kutembelea viwanja tofautitofauti! Mwishon utapata tu
Asante sana dist111
 
Wakuu Kwa anayejua maeneo mapya huko a t town ntapopata kiwanjA m1hadi 2 tufahamishane
 
Back
Top Bottom