Upimaji & Uhakiki wa Kiwanja Chako

Ujenzi nafuu 01

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
314
26
Tunatoa Huduma za;
1. Uhakiki wa kiwanja chako kwa kuchukua 'coordinates' ili upate kujua kama eneo lako ni sahihi kulimiliki au la, usije kujenga katka eneo lililotengwa kwa shughuli za serikali.
Na hili tunalihakiki manispaa/Halmashauri ya eneo lako.
2. Kama eneo lako limepimwa na lipo katika TP huko mipango miji tutakusaidia namna ya kupata hati Hati yko ili uwe huru.
Tupo Dar es salaam,
*"Epuka usumbufu, jua eneo lako"
Tuwasiliane kwa 0713805750(watsap) na 0765141027. Karibu tukuhudumie.
 
Kwani unafanya kazi Ardhi au ? Tuelimishe uhalali wako wa kufanya haya! Una leseni ?????
 
well, kama sio mbali/ndani sana na eneo ni fairy flatland ntakufanyia 200,000/- hapo ni gharama za Upimaji, ufuatiliaji wa TP map huko Halmashaur na logistics zinginezo..Karbu boss!!

Nimechukua namba zako nitakutafuta tufanye kazi
 
Aisee kumbe bei rahisi namna hii?
Wabongo kweli wabishi,yaani mtu yupo tayari apoteze milions of tsh kwa pesa ndogo tu ya uhakiki.
Namie nitakutafuta mkuu,maana hili inabidi lifanyike kabla mtu hujatoa pesa kwa mwenye kiwanja au shamba.
Hembu nijuze inachukua muda gani kuhakiki,
 
Asante Mkuu,
Kuna siku nitakupeleka Mkuranga,mbele ya Kimanzichana huko mkuu,kuna Acre kama 20 - 30 hivi bado nipo kwenye mazungumzo.ikiwa sana nitakutafuta miezi kadhaa ijayo,nasubiria wamalize kuvuna mazao yao ya msimu.

Nakupongeza kwa kuwajali watanzania wenzako,aisee watu wanaumia sana kwa kumiliki maeneo kinyemela na wanalia sana na watalia saana
 
well, kama sio mbali/ndani sana na eneo ni fairy flatland ntakufanyia 200,000/- hapo ni gharama za Upimaji, ufuatiliaji wa TP map huko Halmashaur na logistics zinginezo..Karbu boss!!

Unaposema upimaji unamaanisha nini kaka?
 
Sawa mkuu Zanzibar Spices karbu sana. mkuu Kambaku tunaposema Upimaji ni tuna maana kwamba kama eneo halijapimwa na kuna idadi kubwa ya watu, hapo tunashaur watu wa hapo wajikusanye ili Papimwe under Licensed surveyor, halafu tuna submit drawings Halmashaur na kufuata taratbu zote ili wakaz wa eneo husika wapate hati kutoka serikalin. Ni suala la uaminifu na uungwana tu basi. hvyo kama eneo halijapimwa, hvyo kwa peke ako haiwekani. hvyo Huduma ya hapo juu ni kututuma sisi na kukuhakikishia kama eneo ni halali au la!
 
unafanya nn hasa? umekua mda mrefu una advertise kuhusu huduma za architecture, sasa ivi una advertise kuhusu surveying.
una multi task sio! au we ni dalali.
 
unafanya nn hasa? umekua mda mrefu una advertise kuhusu huduma za architecture, sasa ivi una advertise kuhusu surveying.
una multi task sio! au we ni dalali.
Hili nalo neno
 
Isikupe tabu ndugu Cejo ni kweli mimi ni Architect, jibu ni kwamba tunafanya kaz kama Team na Proffesionals wenzangu kama Surveyors, Planners, Engineers etc mahsusi ktk suala zima la Ardhi na Majengo. Karbu tena!
 
Asante Mkuu,
Kuna siku nitakupeleka Mkuranga,mbele ya Kimanzichana huko mkuu,kuna Acre kama 20 - 30 hivi bado nipo kwenye mazungumzo.ikiwa sana nitakutafuta miezi kadhaa ijayo,nasubiria wamalize kuvuna mazao yao ya msimu.

Nakupongeza kwa kuwajali watanzania wenzako,aisee watu wanaumia sana kwa kumiliki maeneo kinyemela na wanalia sana na watalia saana

Aisee kumbe bei rahisi namna hii?
Wabongo kweli wabishi,yaani mtu yupo tayari apoteze milions of tsh kwa pesa ndogo tu ya uhakiki.
Namie nitakutafuta mkuu,maana hili inabidi lifanyike kabla mtu hujatoa pesa kwa mwenye kiwanja au shamba.
Hembu nijuze inachukua muda gani kuhakiki,

MKUU,
AU WE' ND'O MLETA UZI KWA ID YA ZIADA?

NAULIZA KWA NIA NJEMA TU.
 
Isikupe tabu ndugu Cejo ni kweli mimi ni Architect, jibu ni kwamba tunafanya kaz kama Team na Proffesionals wenzangu kama Surveyors, Planners, Engineers etc mahsusi ktk suala zima la Ardhi na Majengo. Karbu tena!

nakupongeza katika marketing motivation yako au lugha ya mtaani tuseme "hustling". ila naomba tuseme wewe ni Graduate architect. maana ukiwa Architect basi utafahamu professional ethics za ku practice kama zilivyo kwa madakatari, wanasheria na wenye taaluma zao. ila nakupongeza kwa juhudi ya kutafuta na kuongeza kipato, nakutakia mafanikio!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom