Kitabu cha malaika wa shetani sasa kipo sokoni

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,677
Hello wana jamii...
Kwa wale wapenzi wa vitabu vya riwaya za upelelezi, napenda kuwatangazia kuwa sasa kitabu cha malaika wa shetani kinapatikana kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000.Ili kupata kitabu icho, tafadhali piga simu namba 0712504985 au 0763044459. Kwa wale wa mikoani pia, tuna tuma mzigo kwa gharama ya shilingi 5000. Mpaka sasa vinapatika vitabu nane.
1. Mikataba ya kishetani
2. Mikononi mwa nunda
3. Tutarudi na roho zetu?
4. Salamu toka kuzimu
5. Mtambo wa mauti
6. Najisikia kuua tena
7. Roho ya paka
8. Malaika wa shetani.
Karibuni wote.
 
37eb2f4788c3c6b5d2469ba858af82d0.jpg

Si cha kukosa ni kitabu kizuri sana Mimi nimeshajipatia changu .... Kwabei nafuuu sawa na bure kulingana na mengi ambayo utayapata humu ndani
 
Back
Top Bottom