Sofa mpyaa ya kisasa inauzwa bei NAFUU

WHITE HOUSE

Member
May 8, 2016
22
20
Sofa mpyaa ya watu 6, ni ya kisasa, ina miezi miwili tangu inunuliwe, mwenye nayo anahama kikazi hawezi safiri nayo kupunguza gharama, Mpya ni 1.5m Ila kwa Sasa hivi anaiuza 800,000/= tuu mazungumzo yapo kidogo,

Iko Segerea mwisho kwa mawasiliano 0759 501127
 

Attachments

  • tmp-cam-1164187987.jpg
    tmp-cam-1164187987.jpg
    24.7 KB · Views: 210
  • tmp-cam--2143407554.jpg
    tmp-cam--2143407554.jpg
    18.8 KB · Views: 141
Back
Top Bottom