BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Poleni na majukumu, nimekuwa na ndoto za kumiliki gari tangu zamani sana. Sasa kupitia shughuli zangu ndogo ndogo nimefanikiwa kusave shilingi laki nane (800,000) ambayo kwa maisha yangu mimi ni kiasi kikubwa sana cha pesa.
Sasa nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote humu ndani anauza gari au anaweza kuniunganisha na mtu mwingine aniuzie gari kwa laki nane tu isizidi nitashukuru sana. Napatikana Dar-Ilala, nipo serious.
Sasa nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote humu ndani anauza gari au anaweza kuniunganisha na mtu mwingine aniuzie gari kwa laki nane tu isizidi nitashukuru sana. Napatikana Dar-Ilala, nipo serious.