Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar zenu wadau hii forum mm kijana nauza na kupokea tenda kutoka mashule,vyuo,taasisi pamoja hospitali ya uuzaji wa madawa na vifaa vya maabara...kwa taarifa zaid nitumie msg au nipigie kwa...
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Wakuu habari, itifaki imezingatiwa. Msaada, natafuta mtu anayetengeneza vyungu, PM, 0714994833 au martinimhina@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni mpya, storage yake 32gb. Nauza kwa 850000, kama uko interested nichek 0659426390 (watsap) au 0684910695.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata picha za kiasili zilizonakishiwa kwa manzari ya asili ya nchi yetu na bara la afrika. Pic hizi tunazitengeneza kwa style apendayo mteja. check me on 0658100001
2 Reactions
0 Replies
6K Views
Msaada naomba mwenye motherboard . Ya huawei p6 ,plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
https://tapatalk.com/shareLink?url=http%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Findex.php?threads/1068683/&share_tid=1068683&share_fid=8678&share_type=t Sales Manager required
0 Reactions
2 Replies
764 Views
nauza best hd receiver gsky v6 ipo vizuri sana, nahitaji hela ya haraka. anayehitaji anicheki kwa 0717094110 bei ni tsh 200,000 tu. powervu autoroll fta channels
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi hiyo, ni check whatsapp 0715812160
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Wanahanvi, naomba msaada wapi nitapata pampu ya kumwagilia maji. Iwe simple na gharama ndogo, au kama zipo za aina mbalimbali naomba msadaa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza used desktop dell(pichani). Hard disk 40GB Ram 512MB Processor 2.8Ghz DVD Rom. Pentium 4 Nb. Haina screen. nakupa kompyuta, mouse, keybody na cable zake tu. Bei ni shilingi elfu themanini na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa, kipo ruvu kwa zoka kipo karibu na barabarani, kuna umeme, maji, shule na soko, kina ukubwa wa hatua 35 kwa 20..bei milioni 4. maelewano yapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Mahitaji yako ya Ufungaji Mziki wa Gari yako Hapa town pamoja na upambaji mzima,waone•••••@pimp_your_car_ Kule Instagram Na Facebook uone maajabu• wao wana Android...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Shamba lipo kilosa, Morogoro eka 100 bei shilling million 80 mpaka 75 mwisho
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bei yake ni 1.1m mkuu Sony Xperia Z5 premium 32gb internal storage 3gb ram karibu
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Company ni GIBBO CATERING, specialist in African food. Wedding and corporate events, private functions and many more. All menus custodies to meet your personal needs. Namba yangu ni 0676 983196
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau kama unajua wapi maweza pata hiki kifaa naomba nielekezwe ama kama umachopia itakuwa poa sana. Mm npo dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nina eneo chanika ila kwasasa naishi nje ya dar nimeshindwa kuliendeleza kwasababu nimebanwa sana sehem niliyoajiriwa so nina hofu litavamiwa sasa naona bora niliuze. 0763006200/0718006200.
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana jamii naomba kufahamishwa, ni wapi naweza kupata mashine za kunyolea nywele zilizo orignal, hapo kwa mzoefu anijulishe aina iliyo bora pamoja na bei yake, na pia ni maduka gani naweza...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Salaam wadau..nauza picha za urembo wa nyumbani na hata maofisini..Zipo kubwa na ndogo.Zipo pia fremu za picha.Bei ni kuanzia elf 40000 mpaka 120000.Karibuni sana.0689900000
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Tunapima 20 kwa 20 na bei yake 7.5ml maongezi kidogo yapo Karibu ujipatie plot nzr iko maeneo mazuri na mji uliopimwa kwa mpangilio , njia nzr na panafikika kwa urahisi, unaweza pitia mbweni au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom