Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start today on 09/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Certified Information Systems Audit (CISA) Mock Exam is scheduled to be conducted on 28/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building, Institute of Internal Auditors conference room, Fourth Floor...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtihani wa Mock test umepangwa kufanyika tarehe 28/05/2016 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana. Mtihani huu unawaandaa wanaohitaji kufanya CISA Exam ya June na September. malipo ni Tsh...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Ukubwa:square mita 600 Eneo:Tungi/ Kigamboni/Dar Es salaam oposite na Shule Ya FRAY LUIS AMIGO kina leseni ya makazi Bei:tsh 120,000,000 (Tshilingi Mil 120) Mob: 0718295182 unaweza ncheki watsap...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
It is industrial plot here in Kibaha with sqm 6500 well registered with full documents for more details contact 0655619108
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Necklace sh 7000 na cha mkononi sh 3000. Ni pm kama unahitaji.
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Shamba lipo linaukubwa wa kutosha maji kibao kama unataka plz ni pm tuelewane bei ni ndogo karibu na bure. waweza lima mazao ya mbogamboga, mazao ya biashara na nk. Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viwanja viwili vinauzwa vya ukubwa wa 32 * 26. Havijapimwa. Viko makabe karibu na kituo cha polisi. Ukiwa bararani hapo kituo cha polisi unaviona.Kila kimoja ni tsh 40 ml. Nyumba na inauzwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Toyota Corolla X Mwaka 2001 Km. 150329 Tshs 5.5 Cc 1496 Engine VVT-I Vibali vyote vipo hai Gari ipo kwenye hali nzuri sana 0655874863
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wadau Nauza viwanja vipo mbezi msakuzi maarufu kama Pilikapilika/machimbo ni pembeni mwa barabara ya kwenda Makabe ukiingilia barabara ya Mbezi high school. Viwanja vipo vinne...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji hasa mahindi na mbogamboga naomba kujua gharama za vifaa hasa mabomba ya kutandaza shamba lenye ukubwa wa ekari moja. natanguliza shukurani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
JMK ROYAL SERVICES Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life) Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Pikipiki aina ya boxer, imetumika kwa miezi 8 tuu na ilikuwa inatumika kwa ruti fupifupi za kibinafsi (kuendea chuo tu) na sio za kibiashara,hivyo ipo katika hali nzuri na Haina tatizo lolote. BEI...
1 Reactions
24 Replies
11K Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyojielezea natafuta watu wanaotaka kujifunza web development and design kwa mkoa wa dodoma ntatoa training kwa bei ndogo sana lengo ni kuwasaidia. Kutakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Honda Acty van ya mwaka 2004 for sale, manual, 660cc, very good for town trips, mileage ni 187,000km, price 6.5Mil TZS, very good condition, contact 0768236317, Location ni Arusha
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Kiwanja kipo Goba mjini mita 300 kutoka stand Ukubwa miguu 50 kwa 40,pako vizr na njia inafika hadi kwenye plot..bei 35 ml maongezi yapo Kwa Maelezo zaidi na kuhitaji kuja kuona wasiliana nami...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam? Nashukuru sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung galaxy j7 made in Vietnam with high conductivity! Here Mabibo Dar call 0626658983
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom