Kuanzia leo tunaanza biashara ya mikeka
Tutaenda kwa rules 5
1. Tutaweka mikeka miwili tu + bonus 1 ambapo huu wa bonus utaweka hela ndogo ambyo haipaswi kuwepo kwny mahesabu
2. Mkeka 1 utakuwa...
Recently nimefanya research ya biashara ya mchele, mahindi na mkaa. Namaanisha nimejua wapi naweza kupata bidhaa hizo kwa bei rahisi (within these 2 months June & July) na wapi soko lilipo(DSM)...
Salaam wadau...ni nauza printer Kubwa ya mabango (Large Format) mpya kabisa na imeharibika. Imetengenezwa na Yilong Corporation.Inaprint kwenye karatasi ngumu na nyepesi na hata platics na...
Kama wewe ni mfanyabiashara wa bar au unampango wa kufungua bar basi karibu, kuna eneo sahihi kwa ajili yako maeneo ya mwenge, Bar inahususha sehem kubwa ya counter, store kwa ajili ya vinywaji...
Solar Water Pump (SP 300)
Product Description/Maelezo.
SP 300 ina:-
1. Solar Panel Mbili
2. Controler moja.
3.Water Source Sensor moja na Water Storage sensor moja
4.Thread Seal tape 5
5.GI...
Habari zenu wanajamvi
Please anayejua iwapo bei za vifaa vya electronics ni nzuri mjini Doha tafadhali atujuze. Nasikia Uarabuni hivi vitu ni bei rahisi!
Kiwanja kiko kimbiji kwa Morisi.Km 40 kutoka Kigamboni.
Kiwanja kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni.
Panafaa kujenga maduka,yadi ndogo,kufyatua na kuuza matofali,hoteli...
GATEWAY DESKTOP COMPUTER INAUZWA…
SPECIFICATION ZAKE
v Hard Disk 1TB (GB 1000)
v Ram 6 GB
v Processor Core i3
v Mouse and keyboard ni wireless (bado ni mpya)
v Display Inch 21
v Inasupport...
Tafadhali kama unauza au unafahamu mtu anauza Toyota IST niambie.
1. Iwe bado nzuri ndani na nje
2. Bei isizidi 6,000,000 TShs
3. Kama ipo Dar ni safi zaidi
4. Zinatafutwa kwa wingi
5. Weka...
Habari wanajamii,
Nauza HITI Printer 420,
Maelezo mafupi:
-Machine inayotoa passport za haraka saizi zozote bila kuhitaji computer a
-Wino unakuja ana karatasi zake 50 unapata kwa...
Honda hii imesajiliwa na nyaraka zote zipo.
Bei ni mil 3.2, maelewano kiasi yapo kwa atakaye serious.Pikipiki ipo Mkuranga mjini.
Kwa mawasiliano zaidi, nitumie ujumbe kwa...
Habari zenu wakuu, nauza Toyota Starlet Carat, bei ni Tsh 6.5 maelewano yapo.
Gari ipo kwny hali nzuri, vibali vyote vipo.
Imetembea takribano 83,000km, nimeambatanisha na picha zke hapo chini...
Natafuta mayai ya kuku wa kisasa, yawe makubwa. Nahitaji tray 1,000/- kwa wiki.
Yawe makubwa na tray MOJA kwa TZS 7'000/-
Call me via 0717/ 0767 454455
Let us do business together
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start today on 09/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.