House4Sale Nyumba inauzwa IPO salasala IPTL

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk
Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
 

Attachments

  • 1466877610359.jpg
    1466877610359.jpg
    58.4 KB · Views: 74
  • 1466877648587.jpg
    1466877648587.jpg
    53.9 KB · Views: 80
Hiyo Bei ni reasonable kabisa.

Kwa mfano kwa maeneo hayo kiwanja plus ujenzi kwa sasa lazima ifike 140mil plus.

Yaani hapo bei hipo vizuri sana
Kiwanja ni sh ngapi kwa mfano ,mpaka ifike hiyo 140ml
 
Kiwanja maeneo ya IPTL kinaweza kuwa 40mil kama ni 1200 square meters.

Ujenzi fanya maximum ya 80mil. Hapo kila kitu, kuanzia msingi hadi finishing

Kwa hiyo jumla inaweza kuwa kati ya 120mil - 130mil.

Ndio maana nasema 140mil ni reasonable
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom