Gharama za vifaa vya umwagiliaji.

Gharama za vifaa vya umwagiliaji.

kateka

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
696
Reaction score
548
Ndugu wana JF nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji hasa mahindi na mbogamboga naomba kujua gharama za vifaa hasa mabomba ya kutandaza shamba lenye ukubwa wa ekari moja. natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom