Review ya CISA Inaanza leo 09/05/2016

Tarime natokea

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
529
29
True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start today on 09/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5 weeks, three hours a day from 1700-2000 hrs Monday to Friday. Course fee is 700,000/= including manuals and database for questions answers and explanations .For those who are preparing for CISA June/September or December 2016 are warmly welcomed.


kwa maelezo zaidi kwa namna ya kulipia na kuanza darasa tafadhali wasiliana nasi kupitia
true_ink_associates@hotmail.com or mujinja@hotmail.com or Mob. 0713451713 and 0764978313. Contact Person Sam Mujinja. Karibuni sana...
 
Karibu sana Kibosho..ndo tushaanza review class hivi..kesho nitatoa updates ya kilichojili
 
Jana tumeanza chapter I. na tume cover areas zifuatazo.

Domain 1—The Process of Auditing Information Systems
Provide audit services in accordance with IS audit standards to assist the organization in protecting and controlling information systems. (21%)

Task Statements:
1.1 Execute a risk-based IS audit strategy in compliance with IS audit standards to ensure that key risk areas are audited.
1.2 Plan specific audits to determine whether information systems are protected, controlled and provide value to the organization.
1.3 Conduct audits in accordance with IS audit standards to achieve planned audit objectives.
1.4 Communicate audit results and make recommendations to key stakeholders through meetings and audit reports to promote change when necessary.
1.5 Conduct audit follow-ups to determine whether appropriate actions have been taken by management in a timely manner.
Kama bado uko interested bado hujachelewa..tafadhali wasiliana nasi
kupitia true_ink_associates@hotmail.com or mujinja@hotmail.com or Mob. 0713451713 and 0764978313
 
Leo tunaendelea na review class ya CISA ambayo ilianza tarehe 09/05/2016 na tunazidi kuwakaribisha wale wote wanaohitaji kujua jinsi ya kujiunga na kufanya CISA Exams ili wawe CISA Certified professionals.
kwa mawasiliano tupigie kupitia 0713 451713 ama 0764 978313
karibuni wote
 
Mnazidi kukaribishwa,. Ijumaa ni mwisho wa kupokea wale waliochelewa kujiunga.
mnaombwa kuwasiliana nasi kupitia 0764 978313 or 0713451713.
 
Mnazidi kukaribishwa,. Ijumaa ni mwisho wa kupokea wale waliochelewa kujiunga.
mnaombwa kuwasiliana nasi kupitia 0764 978313 or 0713451713.
 
CISA ni Certification wanayosoma watu kwa ajili ya kuwaandaa kufanya mtihani ili waweze kufanya audit kwenye mifumo ya computer.ukizingatia makampuni mengi sasa hivi yanategemea IT sana kufanikisha nalengo yao, kuna umuhimu sana wa mtu hata kama ni financial auditor kujifunza na kuwa na ujuzi wa kufanya IT audit . na tunamfundisha mtu kuwa na minimum skills on how to perform IT audit..kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
 
Daah CAG alikuwa anatupa hii opportunity mambo yamekuwa magumu.najichanga next time nitapiga hii pepa.
 
Hapana shaka Mkuu...gharama sio kubwa sana, ni issue ya kujipanga.............ukiwa na issue njoo tuongee kwani tunaruhusu kulipia even kwa installment hadi tatu..karibu sana..
 
Back
Top Bottom