Pikipiki Boxer inauzwa (ipo katika hali nzuri sana)

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
745
357
Pikipiki aina ya boxer, imetumika kwa miezi 8 tuu na ilikuwa inatumika kwa ruti fupifupi za kibinafsi (kuendea chuo tu) na sio za kibiashara,hivyo ipo katika hali nzuri na Haina tatizo lolote.
BEI 1.6M(Milioni moja na laki sita) ila maelewano yapo.
Mawasiliano: 0717255027

**Kabla ya kuuziana, njoo hata na fundi wako unayemwamini uikague ujiridhishe kwamba haina tatizo lolote na ilikuwa inatunzwa vizuri na kufanyiwa service**

***Nipo Daresalaam- Kimara

photo_2016-06-21_17-31-29.jpg
photo_2016-06-21_17-31-52.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom