Mie ni kijana mwenye miaka 27,natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo yafuatayo ndani ya Mwanza,
》 CCM kirumba
》Kirumba police
》 Mabatini (kusiko na mafuriko)
》Malimbe au SAUT
》Mwaloni
》 Na...
WHY BUSINESS PLAN FOR YOUR INVESTMENT? As KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD, we bring you atleast FOUR among many reasons why your Business idea or an investment needs a Business plan and also WHO...
Kama unahitaji kuwa na account za whatsapp 2 kwa kutumia kwenye simu moja kwa namba hiyo hiyo uitumiayo au nyingine (simu ya dabo line). Nitafute nikuwekee. Tsh. 5,000
Mawasiliano: 0655-659-115...
Mwenye Uhitaji wa Addressable Ionisation Smoke Detectors na Heat Detectors
zinatumia apollo protocols
MAKER:SHIELD UK
COMPATIBILITY:Any Addressable Fire alarm and addressable Fire Suppression...
Mimi ni mfanyabiashara wa Electronics hapa Dodoma nilikuwa nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu mkopo
1.Taasisi ambayo naweza pata mkopo wa kama milioni 5
2.Natakiwa niwe na nn kama mdhamana wa...
Wakuu habarini.
Nimekuwa mpenzi wa game za fifa hasa hii fifa 14, laptop nliyokuwa nikitumia imeharibika.
naomba km una laptop min au yeyote ile yenye sifa hizi nitafute nkupe hela bajeti yangu...
Habari wanaJF.
Ninaomba msaada wa mahali pa kuyapata Mashuka ya Uganda na Pakistan hapa Tanzania kwa bei ya jumla.
Au kama kuna mtu anaushauri mzuri wa jinsi ya kufanya biashara ya mashuka...
MODEL: H6400
PRODUCT HIGHLIGHTS
* Multi-System Compatible
* Full HD (1920 x 1080) Resolution
* Smart Hub / Smart Interaction 2.0
* Clear Motion Rate 400
* Full HD Active 3D Technology
*...
Habari ndugu,
Nahitaji mkopo wa 500000 ndani ya 24 hours ambao nitalipa tarehe 4 kwa riba ya asilimia 20. nina tatizo urgent. tafadhali niko serious.
Ninamiliki biashara iliyosajiliwa, kwa...
Tunauza cement ya Twiga 10800 bila transport na usafir itakua 11300,, kwa dar tunapeleka kokotee ulipo na kwa mikoan tunachukua oda,, Cement ya kisarawe lucky cement kwa bei ya jumla 11000 pamoja...
Salaam..nauza large format printer kwa bei nzuri kama ifuatavyo:
Make:Yilong Technologies
Condition:New
Price:Tsh 14m
Operation:Full automatic
location:Dar es salaam
kwa kuiona au maswali zaidi...
Nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu nauza uwanja wangu upo vikindu njia ya kwenda Vianzi mwendo wa dakika 4 kwa pikipiki kutoka vikindu madukani ukubwa ni 62/58 futi ndani ya eneo kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.