Sema bye bye Dawasco...

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.

Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.

Piga simu namba 0655541948/0628080096

Karibuni saana tuwahudumie
 
sorry mwapatikana wapi ? Au mko nchi nzima? Nomba unijuze maana nawahitaji sana!
 
Maeneo yakuchimba visima dar yakowapi kama sio kulishana uchafu tu suluu la maji dar ni dawasco
 
Unajuwa hadha inayopatikana kwenye upatikanaji wa maji ya Dawasco? Unajuwa ubambikiwaji wa bili mwisho wa mwezi? Ratiba mbovu ya utolewaji wa maji? Epukana na adha hizo zoote kikubwa ni wasiliana na Tawa Water Proffesional ili wakusaidie kupata kisima chako kwa bei rahisi kabisa. Tawa Water Proffesional ni kampuni bora na inayoongoza katika utoaji wa huduma bora za uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu za maji.

Bei zetu ni rahisi saana kupita maelezo. Usidanganyike na matapeli wa mjini watakupa hasara njoo uhudumiwe na watu wenye uzoefu wa hali ya juu katika fani hio.

Piga simu namba 0655541948/0628080096

Karibuni saana tuwahudumie
Dawasco bado ni suluhisho pekee la huduma ya maji kwenye jiji letu wengni ninyi ni wafanyabiashara.
Tena ni kosa kisheria kutangaza biashara yako kwa kuchafua biashara nyingne.
Waombe radhi dawasco kwanza ndipo uje upya kutangaza biashara yako.
 
Njoo tukuchimbiye kisima chako kwa bei rahisi
Mkuu wangu ungefanya hivi..
Ungeweka gharama ya kumobilize/demobilize drilling equipments per km kama mnacharge anyway....bei ya kudrill meter moja...bei ya survey kujua kama eneo husika lina maji etc etc etc....lakini ukiweka tu juu juu kama ulivoweka utawakosa wengi....kwa kifupi Tangazo lako halijitoshelezi...

Asante
 
Back
Top Bottom