pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,558
Amani iwe kwenu wadau
Nauza viwanja vipo mbezi msakuzi maarufu kama Pilikapilika/machimbo ni pembeni mwa barabara ya kwenda Makabe ukiingilia barabara ya Mbezi high school. Viwanja vipo vinne 20m*20m kila kimoja ndani ya block moja. Umeme upo karibu Kabisa yaani nguzo ya Umeme ipo kwenye boundary ya Kiwanja kimoja..barabara zipo..viwanja vilikatwa vizuri sana na kuna barabara za mitaani za kueleweka Kabisa..
Ni eneo linalochangamka kwa kasi na nyumba zinazojengwa eneo hilo ni za Kisasa kabisa..kwa kifupi hakutakuwa na mambo ya usawahilini hapo baadae..
Kiwanja kina mkataba wa manunuzi na vimesajiliwa serikali ya mtaa.
Bei kwa kila Kiwanja ni 15M ila kuna maelewano...naweza kuuza kimoja kimoja ila lengo langu ni kupata mteja atakayechukua viwanja vyote au at least viwili..
Kwa wanaohitaji Tafadhali tuwasiliane
0767 420 464
Hakuna udalali mimi ndo Mwenye VIWANJA
Asanteni.