Wapi nitapata perfume ya Guess Spot?

Wapi nitapata perfume ya Guess Spot?

Joined
Nov 10, 2015
Posts
40
Reaction score
10
Wakuu habari zenu,

Kwa wanaoifahamu hii perfume inaitwa GUESS SPOT ntaipatia wapi kwa hapa Dar es Salaam?

Nashukuru sana.
 
Nenda mlimani city pale kwenye maduka ya vipodozi unaweza kuipata hiyo perfume yako
 
Ni 'just sport' ama 'gues sport? Mi natumia zangu body spray bana ya just sport ni nzur sana
 
Back
Top Bottom