Viwanja na nyumba zinauzwa

mamsapu

Senior Member
Apr 22, 2011
111
25
Viwanja viwili vinauzwa vya ukubwa wa 32 * 26. Havijapimwa. Viko makabe karibu na kituo cha polisi. Ukiwa bararani hapo kituo cha polisi unaviona.Kila kimoja ni tsh 40 ml.

Nyumba na inauzwa msakuzi, kimara. Ina vyumba vinne. haijapimwa. Eneo ni kubwa. Bei ni tsh 180 mil.

vyote hivi owner ni mmoja

Kuna nyumba nyingine inauzwa kinzudi, goba, salasala. Ina vyumba 2 vya kulala ambapo kimoja ni master bedroom. imekamilika. Plot is 20x24. Surveyed. Bei ni tsh 250 mil.

Contact. WhatsApp 0719480707
 
Mnunuzi hazungumzi maneno ya debe tupu. Poleni sana wote mnaopiga kelele za mlango.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom