CISA Mock Test

Tarime natokea

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
529
29
Mtihani wa Mock test umepangwa kufanyika tarehe 28/05/2016 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana.

Mtihani huu unawaandaa wanaohitaji kufanya CISA Exam ya June na September.
malipo ni Tsh. 50,000/=.

Kwa yoyote ambaye yuko interested tafadhali wasiliana nasi kupitia number zifuatazo. +255 713451713 or +255 764978313

Karibuni Wote
 
CISA Mock Test
Ndo mitihani ya aina gani
Naomba msaada kwa anaejua

Mu-arsenal
Huu ni mtihani kwa ajili ya Certified Information Systems Auditor (CISA).
Ni kwa ajili ya wanaojiandaa na mtihani wa Sept, na June 2016.
Unatolewa pekee na ISACA ambao ni Taasisi iliyoko Marekani.
Ni kwa ajili ya wataalamu wa IT, Auditor, wengine wote wenye kuhitaji uelewa wa fani hii ya ukaguzi wa Mifumo ya Mawasiliano na Usalama wake...
 
Back
Top Bottom