Frame inapangishwa Mtwara bima


Ramark

Ramark

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Messages
852
Likes
343
Points
80
Ramark

Ramark

JF-Expert Member
Joined May 19, 2015
852 343 80
Frame inapangishwa ikiwa na bidhaa nyingine kama ukizihitaji utauziwa au kutolewa
Lilikuwa duka la nguo vipodozi na urembo na viatu kwa mbali

Kuna kabati ya kioo, bridge za mbao za kupangia vitu sambamba na wazu na hengus za kutundikia nguo na vitu mbalimbali ina umeme

Ina ukubwa ft 10 kwa 12 ikiwa imegawanya na kuwa na store, pia

Ipo maeneo ya bima raha leo mkabala na tila bar dampo
Kwa garama ya tsh 80 kwa mwezi

Napatikana kwa namba 0627480085
0718251923
0625767498

Karibun
 

Forum statistics

Threads 1,235,504
Members 474,615
Posts 29,224,955