Kiwanja mita 19 kwa mita 22, kinauzwa Kimbiji mil 10.

ntakisigae

Senior Member
Nov 26, 2013
177
58
Kiwanja kiko kimbiji kwa Morisi.Km 40 kutoka Kigamboni.
Kiwanja kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni.
Panafaa kujenga maduka,yadi ndogo,kufyatua na kuuza matofali,hoteli au baa kiasi.
Bei ni mil10.Maelewano kiasi yapo.
Nitumie ujumbe kwa 0657011122.Ujumbe utafaa zaidi, na mimi nitakupigia.
Sihitaji dalali.Karibuni!
 
Back
Top Bottom