Printer Kubwa ya Mabango Bei Poa

lawyer2

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
224
67
Salaam wadau...ni nauza printer Kubwa ya mabango (Large Format) mpya kabisa na imeharibika. Imetengenezwa na Yilong Corporation.Inaprint kwenye karatasi ngumu na nyepesi na hata platics na canvas.Nauza Mil 14.Kwa mawasiliano 0689900000.
1466793579735.jpg
1466793620388.jpg
1466793649238.jpg
 
Printer yako ni mpya alafu imeharibika? Imeharibika vipi? Uliwahi kuuliza kuhusu garama za matengenezo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom