Biashara ya mkeka

Sir_Finus

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
330
139
Kuanzia leo tunaanza biashara ya mikeka

Tutaenda kwa rules 5

1. Tutaweka mikeka miwili tu + bonus 1 ambapo huu wa bonus utaweka hela ndogo ambyo haipaswi kuwepo kwny mahesabu

2. Mkeka 1 utakuwa na team 3 had 5 tu kasoro bonus utakuwa na match 5 had 8..

3. Mkeka 1 utakuwa na odd icyopunguwa 2.4 na uc ozid 14 lakin bonus utakuwa na odd icyopunguwa 10

4. Hata kama mikeka itashinda yote budget ya kesho itabak ile ile na faida itakuwa kept ila the same na ukiliwa

5. Hatuweki mkeka kimapenzi ya team ila kutokana na uhalisia na pia si kwa kukariri ila kwa kufuatilia squad currently na details zngne za muhimu

Tutaanza na capital ya tsh 20,000
Hii capital hatutaigusa mpaka j2 tukiwa tunafanya mahesabu ya mwisho wa juma..

The game start 14.06.2016
Nifuatilie mpaka j2 hii unaweza ukawa ushanielewa

Note: tukishapata kias flan tutawekeza kwny biashara nyngne kama mpesa na zingnezo kutokana na hela iliyopatikana since bettng haina guarentee ya kudumu...
 
Kama nlivyosema..
Mtaji ni buk 20
Na leo ndo tunaanza
Usicheze hela yote ya mtaji
Tutaanza kucheza nusu na odd zitatofautiana kutokana na kampuni unayochezea

Mkeka 1
Tutacheza tsh 4500
..austria 28+
..guangzhou i1-2
..chile win
..portugal i1-2

Mkeka 2
Tutacheza tsh 5000
..argentina i1-2
..portugal win
..guangzhou win
..joinville 28+

Mkeka wa bonus
Tutacheza tsh 500
..aswan i1-2
..crb 1-2
..home utd win
..tampines i1-2
..altyn asyr win
..angola i1-2
..crucero del norte i0-1

End
Summary: used tsh 10,000
On hand 10,000

Tunasubir result kesho tunaendelea...
 
Kamari ni sawa na bangi au pombe
Upo sawa kabisa na ubaya wa hii tofaut na madawa ya kulevya ni kwamba hii haina sober house.. Ni addictve kama ukiconcentrate on t....
Lakin ww chukua kama syd bussiness ambapo utaweka hela ambayobhaikuathir na ickuchukulie muda wako kupita bali uifanye wakat ukiwa free unapumzika...maana hata ukichukua muda mwingi on t ndo kadri unavyongeza probabilty ya failure dats y weng wanowin huwa ni wale wapya kwny game cuz wanakuwa wanaweka bet kwa try na akil ikiwa relaxed
 
Kama nlivyosema..
Mtaji ni buk 20
Na leo ndo tunaanza
Usicheze hela yote ya mtaji
Tutaanza kucheza nusu na odd zitatofautiana kutokana na kampuni unayochezea

Mkeka 1
Tutacheza tsh 4500
..austria 28+
..guangzhou i1-2
..chile win
..portugal i1-2

Mkeka 2
Tutacheza tsh 5000
..argentina i1-2
..portugal win
..guangzhou win
..joinville 28+

Mkeka wa bonus
Tutacheza tsh 500
..aswan i1-2
..crb 1-2
..home utd win
..tampines i1-2
..altyn asyr win
..angola i1-2
..crucero del norte i0-1

End
Summary: used tsh 10,000
On hand 10,000

Tunasubir result kesho tunaendelea...
Mkeka 2 na bonus imelost
Mkeka 1 umewin
Odd kwa meridian ilikuwa total ya 7.62
So kwa 4500tsh
Win tsh 34,290
 
Mkeka 2 na bonus imelost
Mkeka 1 umewin
Odd kwa meridian ilikuwa total ya 7.62
So kwa 4500tsh
Win tsh 34,290
Since tulibak na tsh 10,000 + winning 34,000
Tutakuwa na tsh 44,000
Tunachukua tsh 20,000 (weka mpesa au kwny akiba yko kama faida ya trh 14.06.2016)
Thn tunabak na tsh 24,000
Leo tena tutaipiga pasu
Tutacheza tsh 12,000 then 12,000 nyngne tutanza incase thngz zingeenda wrong...

Budget
Mkeka 1 tutaweka tsh 5500
Mkeka 2 tutaweka tsh 5500
Mkeka wa bonus tsh 1000

Natupia mikeka muda si mref sana
 
Kamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):

{{Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, kuabudu masanamu na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shaytwaan. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa}} [Al-Maaidah: 90].
 
sio kamari hii ni kubet
 
Upo sawa..
Ila hii huend casino or kamar ka zile za karata.. Hii ni kubashiri kama ambavyo ww unaweza shabikia taifa lako ktk mchezo na ukasema leo tunashinda .. Ni kitu ki1 sema tofaut ya ww na mm ni kuwa mm nikisema nakuwa naongeza na addition ya kupata kipato endapo hisia zangu zitatimia..
Ila naomba nikuulize .. Ipi bora vijana hawana chakufanya mtaan waende kukunyonga uchochoron au ktk upenz wao wa mpira waweze kupata kipato kwa kutumia akili na kuanza biashara zngne?
Unaweza ukawa sawa lakin pia unatakiwa kurud upande mwngne pia uangalie...
Nimeona weng wakiliwa ktk mchezo huu ndo maana nikaja na idea hii watu wafunguke atleast wapate kidgo waanze kitu kingne more productvty maana mm nililiwa sana nikiwa 1st yr bt kwa miez ka mi5 mwaka wa tatu niliweza kununua cameras thru dis nimeanza photo shootng na video production so nimependa na vjana wenzangu ambao hawapend kupoteza zaid twende sawa na hapa kaz tu
 
15.06.2016

Mkeka 1
..russia GG
..santos i1-2
..switzerland 28+
..sao paulo 1&H2+

Mkeka 2
..france i1-2
..minsk i1-2
..cruzeiro 2-4
..botafogo 28+

Bonus

France win
Russia win o draw
Switzerland win o draw
Bate win
Minsk win or draw
Sao paulo win
Cruzeiro i1-2
Santos 2+
Lahti i1+

Tukutane kesho kwenye tokeo
 
Kamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):

{{Enyi mlioamini! Bila shaka ulevi, kamari, kuabudu masanamu na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shaytwaan. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa}} [Al-Maaidah: 90].
shosti hatakwetu kamari ni dhambi kabisa na haipaswi kufanywa na watu wa Mungu wote
 
Back
Top Bottom