Nahitaji mayai tray 1000 per week

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,203
157,378
Natafuta mayai ya kuku wa kisasa, yawe makubwa. Nahitaji tray 1,000/- kwa wiki.
Yawe makubwa na tray MOJA kwa TZS 7'000/-
Call me via 0717/ 0767 454455
Let us do business together
 
buji katuma post ya biashara bila ufafanuzi mf.bei na mambo mengine.tuko kwenye uwazi na ukweli.tunaogopa kuwa matapeli wameongezeka in this 7 month in Tanzania



swissme
 
Tray za siku hizi zipo za mayai 6, 12, 24, 30.

Hiyo tray unayotoa offer ya 7,000/= ni ya mayai mangapi? Na unazo tray zako tupu au hiyo offer yako ni kununua mayai na tray zake?
 
nicheki mimi 0762612213 hayo mayai yapo makubwa tray 7000 na madogo 5500 karibu nipo tegeta dsm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom