Licas Casky
Member
- Aug 7, 2014
- 17
- 4
Recently nimefanya research ya biashara ya mchele, mahindi na mkaa. Namaanisha nimejua wapi naweza kupata bidhaa hizo kwa bei rahisi (within these 2 months June & July) na wapi soko lilipo(DSM). So kama uko interested check me through 0716-026077 and lets what we can do. Business starts with ideas and then hard work follows.