Bar inapangishwa maeneo ya Mwenge DSM

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Kama wewe ni mfanyabiashara wa bar au unampango wa kufungua bar basi karibu, kuna eneo sahihi kwa ajili yako maeneo ya mwenge, Bar inahususha sehem kubwa ya counter, store kwa ajili ya vinywaji, eneo kubwa la kutosha wateja wengi,sehemu kubwa ya jiko, MAHALI NI PAZURI KWA BIASHARA KWANI KUNA MKUSANYIKO WA WATU, kodi kwa mwezi ni 700,000 nimeshindwa kuupload picha hapa ila kama unavutiwa kufanya biashara ya bar maeneo ya mwenge wasiliana nami kwa 07134155317 kwa maelezo zaidi na picha
 
Magu atazima ndoto za Watz walio wengi. Hii ni crisis ya aina yake na inatishia Uchumi wa nchi
 
Kutokana na hali ya biashara ndani ya nchi kuwa unfavourable, inatupasa tuanze kufikilia export businesses. Tutafute masoko nchi za nje.

Kwa mfano, mchele mbao, mbogamboga etc, tunaweza ku export Kenya au South Sudan. Niwakati sasa wa watu kuanza kufunguka.

Lakini tukiendelea kukomaa humu humu ndani sisi wote tutaumia na tutaendelea kuumia. Yatupasa tukubali uchumi wetu ume shrink sasa.
 
Bora uwahi uachie wengine maumivu... Kodi za vinywaji zimeshapandishwa Pombe marufuku kuuzwa Asubuhi na Mchana.. Watu hawana Pesa.. Mapedezhee wameisha na wale waliokuwa wakijiita maraisi wa Sinza,Mbagala,Ubungo Ngada Kitwanga aliidhibiti na tunapoenda Pombe atazuia uagizwaji wa Pombe za Nje na za Ndani zitakosa wanunuzi... Mkuu Nakushauri eneo la Baa ufungue Kiwanda Serikali itakupa Tafu mambo ya Starehe yashapitwa na Wakati sasa ni Kazi tu... sera ni nchi ya viwanda na si Matanuzi pombe imesababisha michango ya harusi iwe mikubwa am sure itapungua kiwanga cha single na Double...
 
Mkuu kama huna mshiko ni wewe! Watu wanakula bata kama kawaida!
 
Kwa hali halisi ya watanzania hivi sasa wengi wamepigika mpaka hawanywi tena bia wala kuvuta sigara labda gongo na Bangi!
Kwa ushauri wangu hilo eneo litalipa zaidi kama utafungua Kanisa!
Kama vipi ni Pm tuongee kitu amini wengi nimewashauri na wakafanikiwa;
 
hatutaki ma-pombe tuletee mambo ya maana sio hayo mabiashara ya anasa na yanayochochea zinaa, uzinifu, upotevu wa pesa, maambukizo ya magonjwa ya kisasa.
Wewe ndo hutaki usiwasemee wenzako! Si lazima kuchangia! Anzisha wako wa mahubiri!
 
Wewe ndo hutaki usiwasemee wenzako! Si lazima kuchangia! Anzisha wako wa mahubiri!
babu baa ni laana za kishetani.. kama upo serious nicheki inbox tufanye mpango hilo eneo tubomoe hiyo baa na tujengo kanisa au msikiti watu wa Mungu waendelee kupata mi-baraka na neema tele za mbinguni
 
Back
Top Bottom