Solar water pumps and drip irrigation design

socket

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
305
431
Solar Water Pump (SP 300)
Product Description/Maelezo.
SP 300 ina:-
1. Solar Panel Mbili
2. Controler moja.
3.Water Source Sensor moja na Water Storage sensor moja
4.Thread Seal tape 5
5.GI socket 1
6.Pressure Connector 4
7.Electric Cable 200 meters
8.Nylon Rope 50 meters
9.Non-Return Valve moja

SP 300 Ni Solar Water Pump zilizotengenezwa kwa ajili ya kilimo yenye uwezo wa kupump mpaka 15500liters/day.
Recommended water source ikiwa 10-15m utaweza kuitumia katika shamba la 1 Acre (4000 sqm) na udongo usiwe sand soil

Ni Pumps Unaweza kutumia kwa mahitaji ya kawaida ya nyumbani.
Bei ni Tsh 3 Mil utaletewa mpk ulipo.
Installation Cost ni maelewano kulingana na mahali ulipo.

Drip Irrigation Kits.
Drip zipo zinajumlisha Main pipe kulingana na shape na ukubwa wa shamba
Drip kuanzia 0.25 Acre( Robo Acre) mpaka 500Acres
Drip Line zenye ubora wa 300micron mpaka 1000micron.

Pia tunatoa ushauri wa Kilimo (Agronomic Support and Training) ambao unaambatana na Training kwa mkulima mdogo mpaka mkulima mkubwa.

Kwa mawasiliano.
0757065007/0688105073.
 
Hizo specs na qty hapo ni kwa eka moja au vipi? Vifaa vyote kutoka nchi gani?
 
Mkuu hiyo pump yenu inauwezo wa kuvuta maji mita ngapi kutoka chini mpaka usawa wa ardhi, na kupandisha mita ngapi kwenda juu
 
Mkuu hiyo pump yenu inauwezo wa kuvuta maji mita ngapi kutoka chini mpaka usawa wa ardhi, na kupandisha mita ngapi kwenda juu
Kwasababu hii ni submissible pump uwezo wa kusukuma ni mkubwa kuliko kuvuta kwahii ina sukuma mita mpka hamsini ila inategemea na mahitaji yako labda kwa kukusaidia ungesema urefu wa kisima ili niangalie utapata maji kiasi gani
 
Safi sana mkuu.

Uzi wako umejieleza vizuri sana, nitamuunganisha mdau wangu mmoja na hii itu, yuko mikoani huko umeme bado hawajamuwekea maeneo anayofanyia kilimo chake.
 
Solar Water Pump (SP 300)
Product Description/Maelezo.
SP 300 ina:-
1. Solar Panel Mbili
2. Controler moja.
3.Water Source Sensor moja na Water Storage sensor moja
4.Thread Seal tape 5
5.GI socket 1
6.Pressure Connector 4
7.Electric Cable 200 meters
8.Nylon Rope 50 meters
9.Non-Return Valve moja

SP 300 Ni Solar Water Pump zilizotengenezwa kwa ajili ya kilimo yenye uwezo wa kupump mpaka 15500liters/day.
Recommended water source ikiwa 10-15m utaweza kuitumia katika shamba la 1 Acre (4000 sqm) na udongo usiwe sand soil

Ni Pumps Unaweza kutumia kwa mahitaji ya kawaida ya nyumbani.
Bei ni Tsh 3 Mil utaletewa mpk ulipo.
Installation Cost ni maelewano kulingana na mahali ulipo.

Drip Irrigation Kits.
Drip zipo zinajumlisha Main pipe kulingana na shape na ukubwa wa shamba
Drip kuanzia 0.25 Acre( Robo Acre) mpaka 500Acres
Drip Line zenye ubora wa 300micron mpaka 1000micron.

Pia tunatoa ushauri wa Kilimo (Agronomic Support and Training) ambao unaambatana na Training kwa mkulima mdogo mpaka mkulima mkubwa.

Kwa mawasiliano.
0757065007/0688105073.
Drip kwa heka mnafanya instalation kwa sh ngapi?
 
100000 kwa Acre 250000 kwa Hecta, hizo bei nipamoja na bofaa, kwa maana bomba nk?
 
Kwasababu hii ni submissible pump uwezo wa kusukuma ni mkubwa kuliko kuvuta kwahii ina sukuma mita mpka hamsini ila inategemea na mahitaji yako labda kwa kukusaidia ungesema urefu wa kisima ili niangalie utapata maji kiasi gani
Urefu wa kisima ni mita 65, jee itanifaa hiyo pump yenu?
 
100000 kwa Acre 250000 kwa Hecta, hizo bei nipamoja na bofaa, kwa maana bomba nk?
Unataka DripKits pamoja na gharama za ufungaji?
Hizo ni gharama za ufungaji ukiwa na Drip kits yako
 
Urefu wa kisima ni mita 65, jee itanifaa hiyo pump yenu?
Hii ni ndogo ila ziko pia za ukubwa huo..Nakushauri ufanye Pump test ktk kisima chako ili kujua flowrate ya kisima chako then nione ntakuchagulia na kukuuzia pump umeme au solar kutoka Franklin Electric made in USA
 
Vipi Mnatoa Huduma za Ulinzi Shambani? maana vifaa vyenye thamani ya m3 vitalambwa fasta tu huko huko Shambani.
 
Samahani mimi kiki kisima ninachotumia kina urefu wa 100 kutoka usawa wa ardhi nasukuma 100 mpaka 200. Natumia pump ya Hp 2, je hiyo yakwako inaweza? Kama ndio gharama zake.
 
Back
Top Bottom