hyo dili bado ipo? nichek hapa au nitumie no yakoTafadhali kama unauza au unafahamu mtu anauza Toyota IST niambie.
1. Iwe bado nzuri ndani na nje
2. Bei isizidi 6,000,000 TShs
3. Kama ipo Dar ni safi zaidi
4. Zinatafutwa kwa wingi
5. Weka mawasiliano yako ya simu kama una dili
mimi ni wakala wa forodha hata kwa bei hyo hupati kuagiza. i.s.t japan ni m10Japan kwa hy offer yako unapata lkn sio bongo
mimi ni wakala wa forodha hata kwa bei hyo hupati kuagiza. i.s.t japan ni m10
bei ni kubwa mkuu hyo 7 ni ya kununulia huko ukifika huku unalipia ushuru na port charges so almost kama 12 hvHapa Zanzibar Show room mpaka 7.5m - 8.5m unapata
Almost 10m tu muubei ni kubwa mkuu hyo 7 ni ya kununulia huko ukifika huku unalipia ushuru na port charges so almost kama 12 hv