Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Inauzwa samsung note 2 orignal ya korea inatatizo la touch tuu haina tatizo lingine ni kama uko interest inauzwa laki 2 pm me now
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Niko songea mjini toka jumanne na tarehe 2 january narud dsm, nauza iphone 6 yenye gb 16 ina miez mitatu iko in good condition km mpya tu. Kwa anayejitaj anichek 0713806766. Bei laki 9 Karibun sana
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Kuna gari toyota allion A15 imekuja na rim sijazipenda na nataka ongeza size ya yairi walau iinuke kidogo hata cm chache. Wapi nitapata sports rim na tairi kwa bei nzuri..
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Nataka kuweka zile chuma za silver zinawekwa kama ngao mbele na nyuma na kuzunguka gari.0673229342
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mikocheni au Mbezi Beach kwa bajeti ya Sh. 1,600,000 per month. Nipo tayari kulipa kodi ya mwaka. Kama kuna mwenye kuwa na nyumba ambayo angalau ina vyumba 4...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Gari inauzwa milion 7.2....0713806766
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Engine yake ilipata matatizo so kimsingi haina engine. Inaweza kufaa kwa:- 1. Kutumia vitu vyake kama spare parts kwa aliye na aina ya gari kama hii 2. Kam unayo aina kama hii na body au baadhi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Natafuta motherboard ya hp 630, 635 au Hp Compaq Presario series Q60, Q62 au inayoingiliana na hizo. Nipo Dar 0684 14 14 76
0 Reactions
1 Replies
810 Views
lc.
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Ninafanya biashara ya gas na vifaa vyake jijini MWANZA.nina changamoto ya kua na mitungi midogo ya kg 6. Kama kuna mtu anayo, ameacha kuendelea na biashara kwa namna moja au nyingine aniuzie hyo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa anayeuza external hard drive 1T, ani pm, offfer yangu ni 120-130K
0 Reactions
1 Replies
592 Views
Plot ina uzwa ipo Tabata Kinyerezi shule karibu na bank ya mkopo njia ya kwenda songasi,haufiki songasi,ukubwa ni ni miguu 25 kwa 25 bei ni tsh Milion 27 maongezi,pana foundation imara sana ina...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari wana Jf. Bei ni 2.7mil maelewano yapo. Ukubwa ni mita15*15. Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
HABARI NAIUZA HDD YA SATA YA DESKTOP AINA YA SEAGATE KWA LAKI MOJA TU ANAEHITAJI ANITAFUTE KWA 0712212220
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau nauliza hizi mashine za juisi ya miwa zinapatikana wapi hapa dar...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
mzigo umeshauzwa ****Thread closed****
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Nahitaji friji used kale kadgo ya bei nafuu kdgo. 0755661541. Kwa watu wa Arusha. Asante
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Nauza iphone 5s 470k rangi ya kijivu na nyeusi,16 GB Napatikana dar 0675990776 haina tatizo lolote
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ukiwa nazo ni pm bei na mahali zilipo. Mpya ama used iliyo katika hali nzuri zitafaa. Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom