Una bei gani?Mkuu kioo chake ni 250000 kama sikosei mpaka 150000
Kioo original vinauzwa pair na touch yake 180 + 60(nakupa wee) + 20 (ufundi) = 260 (still risk inawezekana kuna tatizo lingine) kwa akili ya kawaida kitown town 260 ukiongeza 40 Unapata simu nzuri.. Nikinunua hiyo yako kwa 200,000 + 180 kioo + 20 (ufundi) = 400,000. hivi note 2 mpya kiaisi gani shop?