Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, Ninahitaji nguruwe dume mkubwa mwenye uwezo wa kupanda jike lenye kilo 120 au zaidi. Akiwa large white au landrace itakuwa vizuri zaidi. Mwenye naye anipe bei tufanye biashara, nipo...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Pata pochi nzuriii na za kisasa kabisa kwa bei nafuuu kabisa ya Tsh75000 <br />Kwa mawasiliano zaid njoo pm<br /><br /> PIA ZIPO ZA TSH50000<br />
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Wadau. Nahitaji wauzaji wa vifaa vya Shade na wataalamu wa kuzifunga site huko Mbeya. Mfano wa shade hapa chini.
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Sold
1 Reactions
12 Replies
3K Views
OFA KUBWA kutoka Mkuki na Nyota! Pata vitabu vyote 9 kwa bei ya vitabu 7 na ukamilishe seti nzima ya ALFU LELA U LELA. Vitabu hivi vinasisimua sana na kama hujawahi kuvisoma basi ukianza kitabu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nauza Toyota starlet Million 4 Cc 1330 Mileage 200000 0655006677
0 Reactions
13 Replies
3K Views
I
1 Reactions
2 Replies
921 Views
Frame za biashara zinakodishwa (Mandazi Road) Msasani baada kona ya Kimweri na Maandazi Road. Ni frame mpya zime baki mbili kati ya frame tatu. Mita 150 kutokea Kimweri Road upande wa kulia. Bei...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Deal done!!
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Nauza ubuyu wa embe ambazo zimekaushwa na kupikwa kama ubuyu ni mtam sana kwa anaehitaj 0654695943 Tabora. Jumla na rejareja kwa bei nafuu sana 1000 kwa 500
6 Reactions
73 Replies
13K Views
Kwa mikoa ya Mwanza, Geita, pia Kahama, Nzega n.k Kama unataka senene wailokaangwa kwa jumla ni PM Nauza kuanzia nusu ndoo (lita10), ndoo nzima (Lita 20) na kuendelea Bei nusu ndoo ni Tsh...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali dar es salaam kwanzia laki mbili mpaka million kumi na tunanunua madeni. Huitaji dhamana wala mdhamini, riba ni 18% kwa mwaka na malipo ni ndani ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Habari? Natafuta frem Kariakoo mtaa wa Congo,yeyote anayeweza kusaidia kupatikana tuwasiliane pm haraka...ukifanikisha utalipwa posho. Asante
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman nipo mwanza nauliza mwenye kujua bei ya mashine ya kutengenezea juice hasa kwenye mgahawa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba Lina Ukubwa Wa Ekari Tano Na Nusu. Lipo Msata Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Tanga Na Pia Mita Chache Kutoka Barabara Iendayo Bagamoyo. Ni Eneo Zuri Hasa Kwa Wenye Lengo La Uwekezaji...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Gari Kluger new model ya 2012 inauzwa ni namba DEF picha hiyo ni kabla haijawekwa namba bei 60m maongezi yapo dalali hatakiwi ukitaka tuwasiliane ni PM
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari,wakuu!, kama unahitaji kuwa na library ya vitabu nyumbani kwako,hii ni Taarifa nzuri kwako!,ni jambo jema kwa mtu anaependa na kutambua umuhimu wa kusoma nyumbani kwake yeye na familia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
PICHA: HOTELI MPYA TANZANIA, WATEJA HULIPA SHILINGI MILIONI 22 KWA USIKU MMOJA. BURUDANI - AUGUST 29, 2016- Hoteli hii iko katika kisiwa cha Thanda kusini mwa Tanzania. Ina vyumba 5 vya kulala...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom