Jiongeze mafunzo ya lugha kiingereza na kifaransa

Tunsume

Member
Aug 25, 2008
72
24
Tunsume Skills Training college inatoa mafunzo ya lugha (kiingereza, kifaransa na kiswahili) kwa wanaohitaji kujitayarisha kukabili ushindani ema katika soko la ajira ama soko la biashara ndani na nje ya nchi. Kiingereza tunawaalimu wa cheti cha CELTA kutoka cambridge kupitia Edith Cowan University Australia. Kiswahili tunafundisha kwa wageni na wanaohitaji kufundisha kiswahili kwa wageni.

Lugha ni nyenzo kubwa sana ya kiuchumi. Pia tunatoa huduma ya kufundisha kiingereza kwa waalimu wa chekechea, na hata sekondari ambao wanataka kujiongeza. Vile vile chuo kinatoa mafunzo kwa QT na Reseatters. Karibu piga simu o753087713 ama 0718200505
 
Back
Top Bottom