Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu naomba kujua bei ya machine ya kutengenezea ice cream
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza Professional shaving machine, nzuri kwa salon kwani ni heavy duty au matumizi binafasi. Zote ni product za Wahl USA na zinatoka huko. Kama picha zilivyoambatanishwa hiy nyeupe ni 165,000 TZS...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
10000 jumla 15000 rejareja jumla kuanzia
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habar za humu wana JF mim ninataka kununua kabat la nguo ila nataka yale ya kukunja na kuweka kwenye box. (Mchina) nina laki 1.5 kama unalo nichek inbox
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba mwenye kioo cha LG G3 anicheki DM
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Brandnew iPhone 6 for sale Original and Full Boxed with all accessories Gold in colour 16GB Internal storage. Price 850,000 Call 0763342257 or whatsap +86 15005284617
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Nauza container la ulefu wa futi 20 . lipo katika hari nzuri sana na bado halijakatwa . document zote halali zipo . container lipo hapa Dar . bei Tsh 3.5m tuwasiliane kwa muhitaji 0657 14 55 55.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni Mkazi wa Mbagala ninachukizwa na hizi foleni zisizo na msingi hapa Mbagala kisa hakuna stend lakini Zakhem umbali kadhaa yaaani hata ukichukua kalala unaseleleka unafika napenda kusema...
1 Reactions
2 Replies
940 Views
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Habari za asubuhi wadau? Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga. Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100) Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs Mpunga upo Ndala (Tabora) 0763718328
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina kiwanja changu kidogo niko Mbezi Msakuzi. Nauza Sh. Mil. 5. Tazama picture
0 Reactions
6 Replies
1K Views
. .fwvg
0 Reactions
2 Replies
754 Views
USWAZI FM Support yenu kwa hii redio yetu online tusikilize live on mixlr pia unaweza kutusikiliza kwa kupakua application ya mixlr katika playstore pia unaweza kusikiliza moja kwa moja kwa...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Specification. Intel core i5@2.7ghz 2gb ram 160gb HDD(unaweza ukaongeza mwenyewe) Wireless+Bluetooth zote zipo. Bei:350,000Tsh tu Nipigia au nitxt 0673206639 Karibuni Sana.@
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza viwanja viwli vyenye ukubwa wa 23*22 maeneo ya dege kigambon. Mita 50 kutoka barabara kuu yenye lami. Huduma za kijamii zipo zikiwemo umeme pia. Kwa kua vina ukubwa sawa bei pia znafanana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ram 4gb HDD 250GB proc core i7 Graphics NVidia 3.5Gb.price 430,000k.simu 0659626782.napatkana dar
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Viatu vizuri kwa bei nzur Viatu vizuri kwa bei nzur
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu nauza smart phone ya samsung gravity smart au galaxy q yenye android na full specs za smart phone for only 200,000/= tuwasiliane kwa pm kama una nia kama unataka kuiona angalia hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba imeshachukuliwa tayari.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom