Daah nimepishana na mwaka nina viwanja vinne kilapula mbele kidogo na mizani ya pongwe viwili viko mbele viwili nyuma, vinazingukwa na barabara tatu na maji bomba limepita hapoSalama wakuu. Naomba msaada kwa aliyepo Tanga. Natafuta kiwanja cha bei poa naeneo ya Majani Mapana. Ni eneo la kujenga nyumba ya kuishi. Msaada plz. +255756981717