Wadau habari za Wkend. Nahitaji Kiwanja ama pagala liwe Tabata Kimanga, Segerea, Mawenzi, Kisukuru ama Kinyerezi. Bajeti below 15 Mil. Eneo lisiwe kwenye mwinuko. Kwa aliye tayari aweke Eneo lilipo, ukubwa, bei na mawasiliano. Biashara itafanyika within 3 days endapo tutafikia muafaka. Naomba msaada wenu wadau.