Napata wapi sports rim na tairi za allion kwa bei nzuri

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,733
Kuna gari toyota allion A15 imekuja na rim sijazipenda na nataka ongeza size ya yairi walau iinuke kidogo hata cm chache.
Wapi nitapata sports rim na tairi kwa bei nzuri..
 
Nenda mtaa wa Lumumba, Kariakoo au mitaa ile ya Twiga kule kutokea maeneo ya Fire utapata. Vlvl kuiinua kidogo gari ili ufunge sport rims kubwa kidogo inasaidia kwa kuongeza 'spencer" za mm20 inategemea na fundi atakavyo kushauri. Spencer ilikuwa elfu 20 tu kwa 4pcs sasa sijui kwa sasa. Gari huwa inapendeza sana
 
Asante kwa ushaur na taarifa
 
Ni Spacer, from the word Space yaani nafasi
 
Kuna gari toyota allion A15 imekuja na rim sijazipenda na nataka ongeza size ya yairi walau iinuke kidogo hata cm chache.
Wapi nitapata sports rim na tairi kwa bei nzuri..
Unless kama hupendelei kuangalia hizi vitu, but kubadili ukubwa wa tairi ya gari iliyokuja nayo kunaichanganya hiyo gari.
Hesabu zinasema ili kupata mzunguko wa kitu cha umbo la Duara basi unachukua 22/7 (pai) X Kipenyo. Sasa basi mzunguko huu utakupa urefu wa umbali ambako tairi ya gari ikifanya mzunguko mmoja. Kwamba mfano Engine ikipiga mizunguko kadhaa ukazidisha na Umbali wa Mzunguko mmoja unapata umbali ambako gari itaenda.

Hesabu hizi ziko pale ambako mtengenezaji wa gari ana-set ile speed meter na millage unayoiona pale kwenye dashboard. Sasa unapotoa hizo tairi na kuweka kubwa zaidi basi hapo utafanya mzunguko mmoja gari iwe imeenda mbali zaidi kuliko walivyoipima kabla. Ndio pale ambako dashboard inasoma umeenda kilometre 3,000 kumbe actually gari imeenda kilometre 4,000.

Mwisho wa siku unajikuta labda kilometre za service zimefikia lakini dashboard inasoma bado, sababu tairi zako zinakua zinasogea mbele zaidi kuliko dashboard inavyosoma. Inahitaji knowledge ya hesabu na labda physics kuweza kujua hii kitu, lakini ukweli ndio huo Mkuu wangu.
 
Piga hii namba... 0652496359.
Wana garage ya kupimp magari. Garage inaitwa let it shine.
 
Kwaio wanaotengeneza hizo after market rims hawajui sio...
 
Hizo inabidi unapotoa Rim basi urudishie za za ukubwa huo huo. Au unaweza kuweka rimu kubwa lakini kile kilichoongezeka kikaenda kupunguzwa kwenye ukubwa wa tairi, ndio maana kukawa na tairi "LOW PROFILE", hizi ni maalumu kwa tairi zenye rimu kubwa. Mwisho wa siku ile "diametre" ya tairi zima na rimu yake inakua haijabadilika
 
Tutafanya service kila baada ya kutembea kilomita 2000. Hilo halina shida mkuu.
 
Kuna gari toyota allion A15 imekuja na rim sijazipenda na nataka ongeza size ya yairi walau iinuke kidogo hata cm chache.
Wapi nitapata sports rim na tairi kwa bei nzuri..
Mkuu ni PM kuna mtu wangu ameweka sports rims gari kama hiyo na limekuwa kali sana!
 
Nenda mtaa wa Lumumba, Kariakoo au mitaa ile ya Twiga kule kutokea maeneo ya Fire utapata. Vlvl kuiinua kidogo gari ili ufunge sport rims kubwa kidogo inasaidia kwa kuongeza 'spencer" za mm20 inategemea na fundi atakavyo kushauri. Spencer ilikuwa elfu 20 tu kwa 4pcs sasa sijui kwa sasa. Gari huwa inapendeza sana
Spacer
 
Back
Top Bottom