Rejea kichwa cha habari,kwa yeyote anayeona mbali.
Karibu umiliki ardhi Dar,maeneo ya Mbezi Msumi,
Unaweza fika kwa Kupitia Mbezi mwisho au Kurudia Mlimani City,via Changanyikeni na tena Njia za...
Imetumika miezi kadhaa ila bado ipo ktk ubora wake, kama inavyoonekana kwenye hzo picha hapo. Haina tatizo lolote wala kasoro yoyote na hili kudhibitisa nachosema unaruhusiwa kuikaguwa kadri...
Jipatie mashine ya kichujia maji ambayo haitumii umeme ni rahis kutumia na ni salama kwa asilimia 100 kwa maana ina kipenyo cha micrometer cha 0.2 ambacho hakiruhusu bacteria wala uchafu wa...
House for rent:
Three bedrooms one is master
Two public toilets
Wardrobes in all three bedrooms
DAWASCO Water available plus reserve tanks of 1,2000 Ltrs
Sharing compound - 2 apartments in one...
Wakuu,
Nataka nipate mashine inayofanya kazi ya i)Kuprint ii)Kuscan & iii)Kutoa copies,
Pia iv)kuprint passport.
Kuna ndugu kaniambia alisikia kuwa Epson LL220 iko vizuri kwa hizo functions...
Tunsume Skills Training college inatoa mafunzo ya lugha (kiingereza, kifaransa na kiswahili) kwa wanaohitaji kujitayarisha kukabili ushindani ema katika soko la ajira ama soko la biashara ndani na...
Wadau habari za Wkend. Nahitaji Kiwanja ama pagala liwe Tabata Kimanga, Segerea, Mawenzi, Kisukuru ama Kinyerezi. Bajeti below 15 Mil. Eneo lisiwe kwenye mwinuko. Kwa aliye tayari aweke Eneo...
Ile offer bado inaendelea kwa wale wote wahitaji wa viwanja kwaajil ya kujenga!!
Wachache walio wahi wameshajipatia na kwa wengine bado hamjachelewa!!
Viwanja vinapatikana CHATEMBO,
Ni kilwa road...
Vinauzwa vyote Kama vilivyo kwenye picha.
Mashine mbili
Sterilizer
Viti vya kisasa
Kiti cha kuoshea
Kochi
Mlango wa aluminum na picha zake
Display ya ukutani ya ngazi mbili.
Jipatie quality masai shoes kwa bei poa jumla na rejareja vinapatikana kwa oda maalum
Whatsapp 0653783552 kwa maelezo zaidi pia
Follow page yetu instagram african_products01
Habari za humu ndani wana JF. Natafuta mtu Tour guide mwenye uwezo wa kuongea na kuandika kituruki.kwa maelezo zaidi Tuwasiliane humu tafadhali +255653405474
Kiwanja kipo km kilometre 10 mpaka 12 kutoka fery kwenye panton na kutoka kiwanjan mpaka beach ni meter 400 mpaka 500.
Block no 7 plot no 118.
Kiwanja kipo karibu na nyumba za national housing na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.