Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Stanley mrema

Member
Oct 13, 2012
22
20
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo

NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz wako kulirekebisha au kubomoa na kuanza ujenz upya
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
2,000
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo
Kinzudi ndio wapi huko?, kwa nini hujalielezea vizuri hilo eneo lako kuwa liko karibu na nini? Barabara ipo ya uhakika, kiwanja kimepimwa na kina hati?

Lakini kaka kiwanja hata hekari 1 hakijafika unauza 65Mil
 
Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
51
125
Kinzudi hii hii niijuayo mimi ya Goba ndio size hiyo unauza million 65? Duuuhh. Hapo ukiuza kwa bei nzuri saaaaana utauza milion 25
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo

NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz wako kulirekebisha au kubomoa na kuanza ujenz upya
kinzudi ni wilaya gani, mkoa gani, eneo la wapi hilo kaka.
 
Stanley mrema

Member
Oct 13, 2012
22
20
Kinzudi ndio wapi huko?, kwa nini hujalielezea vizuri hilo eneo lako kuwa liko karibu na nini? Barabara ipo ya uhakika, kiwanja kimepimwa na kina hati?

Lakini kaka kiwanja hata hekari 1 hakijafika unauza 65Mil
Kata ya Goba
Wilaya ya Ubungo
Barabara ni ya uhakika ni hatua 50 toka mwisho wa daladala za Kinzudi. Ukishukia Makonde pikipiki ni 1500.
 
Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom