Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ULEFONE PARIS NOW IN DAR (370,000/= tsh ONLY) Brand-ulefone Model-Paris Color-Metal Grey / Silk White Dimensions-144.5 x 71.7 x 8.0 Weight-128g (with battery) Operating system-Pre-install...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza jiko la gesi, mtungi wa gesi kampuni ya lake ukiwa na gesi full, mafeni mawili na brenda kwa bei ya kutupa. Kwa mwenye kuhitaji nitwangie kwa 0621 05 92 25 tufanye biashara. Location...
0 Reactions
68 Replies
16K Views
Projector aina ya TOSHIBA inauzwa kwa 380,000Tsh tu. Ni mpya iko na remote yake na case. For serious buyers only. Nicheck PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lina leseni ya uchimbaji,geogolical report n.a. vibali v yote. 0625715751
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Bado hujachelewa mnakaribishwa katika maombi ya uponyaji katika kituo cha karismatiki katoliki Ubungo .Kwa watu wa dini zote "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wa dau, Nina kuku wa kienyeji wapo wengi sana ila natfuta soko kama wapo wadau wanaotaka niwe nawasupply kuku continuous....Wamiliki wa hotel au mabanda Twende kazi.... Au kama...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Nauza Toyota premio model STJ 210- YA MWAKA 1999. Gari bado IPO katika hali njema kabisa mahitaji tu yanayonilazimu niiuze. Engine haijaguswa . bei 6m maelewano yana nafasi kwa mnunuzi yakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wakuu nauza cm yangu ya Nokia Lumia 710 IPO katika hali nzuri mno bei sh elfu 80 sababu za kuuza ni kwamba Window phone imenitoa jasho nimezoea Android akina Tecno kama Kuna yeyote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji seat cover original za hari hio inayoonekana hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Njombe institute inawatangazia nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za hoteli. Ada zetu ni nafuu sana na chuo kina mazingira mazuri ya kusomea pamoja na vitendo. Mwanafunzi anatafutiwa kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ngudu, Ninatafuta watu tunawoweza kufanya biashara. Nita vitu vingi ambavyo tunaweza kuviuza Tanzania. Nguo mpya and mitumba from UK, viatu,football shirt (Jersey), Car spare parts, Tvs...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wandugu, habari??? Kwa yeyote mwenye kiwanja maeneo ya Buyuni ulipo mradi wa PSPF au jirani anijulishe. Aseme ukubwa wa eneo lake na bei. Karibuni PM au email humble2080@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
""Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga namba:0659216426...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Natafuta kitanda 5-6 used bei na 70000 kama unacho nicheki 0716516563 niko dar kigamboni
0 Reactions
3 Replies
780 Views
Nauza iphone4s haina tatizo lolote ipo fresh bei 180000 na iphone5 yenye 16gb bei 320000 nicheki 0624055251
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu member wa Jf. Kwa mda huu niko Mbeya Nahitaji lain za M-pesa , Tigo- Pesa na Airtel Money, Kwa mtuyoyote aliyo nayo na anaweza na Anauza asisite kuwasiliana na mimi kwa kunipim...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu kua unatatizo ndio maana umefika hapa, Kabla sijaendelea na dhumuni nililokusudia kueleza au kutatua tatizo ningependa kuweka wazi jambo lifuatalo, Kuna aina mbali mbali za watu...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Back
Top Bottom