Patners, wafanyabiashara Tanzania

Lookmalasin

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,457
1,825
Habari ngudu, Ninatafuta watu tunawoweza kufanya biashara. Nita vitu vingi ambavyo tunaweza kuviuza Tanzania. Nguo mpya and mitumba from UK, viatu,football shirt (Jersey), Car spare parts, Tvs, Laptops. cars, Suit Jackets, suits, jeans etc. Tunaweza kupata kitu chochote.

Itakuwa hivi, unaniambia vitu unavyovitaka, send your order, and i will send all the stuff to John. nitavituma kwa mtu anaitwa John, he is very honest man. sasa wewe unavyofanya ni kuviangalia na kama ukivipenda buy them and give him money. kama uvipendi don't buy them. No risk form your side.

For those who are serious give me your orders.
 
Ungefanya kuweka list na real photos ya baadhi ya vitu pia sample price na model/specs let say kwa laptop, kiatu , tv etc
 
Back
Top Bottom