Anauza mifugo

tunage

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
252
168
""Natafuta mteja/wateja wa mifugo mbuzi, kondoo na ng'ombe. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii maana nimeifanya kwa muda mrefu na asili yangu ni ufugaji. Kwa maelezo zaidi piga namba:0659216426. Asante."

Mtafute kwa hizo namba
 
Mifugo inakufa kwa njaa ndo wanataka kuuza hawa wafugaji wamechanganyikiwa nini. Hii imekuwa kwenu hili ni somo mnafuga maelfu ya mifugo mkitegemea mvua kupata chakula.imegoma sasa mtatia akili tu .na bwana mkubwa ndo hana stori na mtu
 
Back
Top Bottom