Natafuta soko la kuku wa kienyeji

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,246
1,643
Habari wa dau,
Nina kuku wa kienyeji wapo wengi sana ila natfuta soko kama wapo wadau wanaotaka niwe nawasupply kuku continuous....Wamiliki wa hotel au mabanda Twende kazi....
Au kama unaconnection waweza nisaidia
TWENDE KAZIIII...
 
Funguka zaidi..

Mahali hao kuku walipo, bei gani, wengi ndio wangapi? umri wao au makisio ya uzito.
 
Kuku wanauzito tofauti tofauti ,wengi sana ,Niko mbeya lakin kwa tenda yeyote kokote naweza wafikisha ilimrad uwe unachukua kwa wingi....Kwa kuwa ninao kuku wenye umri tofauti tofaut wewe utaniambia unahitaji wenye umri gan ,wangap na wapi
 
Mbeya kubwa Mkuu,, fafanua Mbeya sehem gan
 
Hii ni business sasa ukiongea hiv nashindwa kuelewa we n mteja au mleta majungu...kama. Unataka kuku nikuletee hqijalish ulipo
swali langu halihusiani na majungu wewe ni kujibu tu mbeya nzima umekosa soko hadi uwaze nje? kwa idadi ya kuku wangapi neno wengi huanzia mbili wewe ni wangapi? pia ni mfugaji au muuzaji? soko bado kubwa sana
 
Mbeya lipo but sio la kutosha kama uwezo wangu ulivo....
 
Mkuu kuna hotel nyingi huwa zinahitaji supply ya uhakika ..ebu nikuchekie connection
 
Kuku wanauzito tofauti tofauti ,wengi sana ,Niko mbeya lakin kwa tenda yeyote kokote naweza wafikisha ilimrad uwe unachukua kwa wingi....Kwa kuwa ninao kuku wenye umri tofauti tofaut wewe utaniambia unahitaji wenye umri gan ,wangap na wapi

Ndugu bidhaa haiziki hvi weka details zaid na kuku umri hua sio muhim sana hasa tunaangalia uzito maana kuna kuku wa kienyej ana miez 6 hafikish hata kilo 2.5
 
Kuku wanauzito tofauti tofauti ,wengi sana ,Niko mbeya lakin kwa tenda yeyote kokote naweza wafikisha ilimrad uwe unachukua kwa wingi....Kwa kuwa ninao kuku wenye umri tofauti tofaut wewe utaniambia unahitaji wenye umri gan ,wangap na wapi
Bei inaanzia sh ngapi mkuu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom