Heshima kwenu wakuu
Ninaomba msaada ninacreate PayPal account sasa nimekuwa napata tabu sana na hii zip code sielewi nijaze nini hapo kwenye zip code na kingine ni hizo state zinakuja suggestion...
Kampuni yetu inataka muuzaji anayeuza VIOO kwa bei ya jumla na tutafurahi kama tutapata maelekezo madogo kutoka kwake, tuko tayar kufanya kazi na huyo mtu,
Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea
Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali...
Kiwanja kinauzwa kipo bunju dar es salaam karibu na posto bella
Ukubwa ni sqm 600
Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi
Being mil 35
Kwa mawasiliano zaidi piga simu au...
Wanajamii kama kuna mtu wa Dar Es Salaam mwenye Pub au min Bar yenye jiko ambaye ameshindwa kuiendesha kwa sababu mbali mbali na anahitaji kuikodisha/kuipangisha ikiwa na vitendea kazi vyote kama...
VALENTINES DAY TSHIRTS AVAILABLE BONYEZA LINK HIYO KUCHAGUA UNAYOPENDA
Tishirt kwaajili ya siku ya wapendanao 1 karibu uweke order yako mapemaaaa!!!!sh 15000 moja mbili kwa 30000 pia kwa wanaotaka...
Eneo kubwa la hekari moja linauzwa lipo mabwe pande kilometa 5 kutoka bunju b stendi umeme unapatikana pamoja na maji
Serious buyers 0657227370 tuma sms whatsapp au call me..
Habarini wadau wa biashara ni gari ambayo iko vizuri na inafanya kazi inauzwa million 16 maongezi yapo haipitii kwa dalali mimi ndio mwenye gari sababu nataka kubadili biashara nyingine namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.